Sponsor

header ads

MASANGA KIGOMA;; EMANIZO REST IN PEACE

ni mungu ndo anaye panga sio mwanadamu ama kiumbe yeyote alipanga emanuel bigarama{ EMANIZO} afariki na imekuwa tarehe aliyoandikiwa imefika na ameitikia wito 
si mimi wala wewe wala ema mwenyewe aliyejua kama ataondoka duniani tarehe 11/7/2017 imetokea tu 
chamsingi tumuombe mungu amfikishe mahali pema peponi 
na hii itufunze vijana kumkumbuka mwenyezimungu na kuamini kuwa haya ya hapa duniani ni makazi ya muda tu ----tunapita tu; 
ameanza emanizo na sisi tutafata hakuna ataebaki 
RIP EMANIZO BIGARAMA 


Post a Comment

0 Comments