Sponsor

header ads

ROONEY NA EVERTON YOTE WAMEWASILI BONGO WAITEKA DAR ES SALAAM

site to read






    Wayne rooney na team yake nzima imewasili jijini dar na kuwaacha wapenzi wa soka nchini tanzania kubaki midomo wazi kwani ameweza kuwa mtu special baada ya kuonekana akiwa katika  ulinzi wa hali ya juu baada ya kushuka akiwa chini ya ulinzi wa watu watatu tofauti na wachezaji wengine ambao kila mmoja alishuka kivyake rooney ameshuka akiwa na  watu watatu nyuma yake na kuelekezwa kwenda kwa waziri mwakyembe baada ya hapo rooney aliendelea kusindikizwa na baadae aliingia kwenye gari na wale waliokuwa wakimlinda walirudi

 tumemuona rooney baada ya kutomuona lukaku na tumemuona rooney baada ya manchester united kutuona thamani yake n akutomuhitaji msimu jao


VIDEO YA ROONEY BONGO

Post a Comment

0 Comments