Sponsor

header ads

About Us

TONGA MUZIKI BLOG
Kwa kiufupi tonga muziki ni blog yenye lengo la kuukuza muziki wa kwa kuweka kila aina muziki muzuri hewani kiasi cha kuwafikia zaidi ya mamalioni ya watu duniani
kwa kuangalia uguu wa undergrounds wanavyoshindwa kufikia malengo yao kwa kukosa kipato cha kuusukuma muziki wao katika vituo vya radio na tv
TONGA MUZIKI ikaona sasa hii ni njia rahisi kwa wasanii wadogo kuweza kuusabaza muziki wao katika kuonyesha vipaji vyao bila kutumia gharama kubwa ili kuusambaza muziki wao
 
 
HISTORIA FUPI YA TONGA MUZIKI
 
Iianzishwa mwaka 2016/12 na mwanzilishi wake ni BOSSAN DINGY ampapo aliifungua alipokuwa Dodoma na kuanza kufanya kazi rasmi mwaka 2018 kwa kuwa updated kwa kila nyimbo inayotoka na kuweza kuwasaidia wasanii wadogo kuweza kuweka pia muziki wao katika blog hii janja kabisa
 
for English
 
TONGA MUZIKI BLOG
In shortly tonga muziki is the blog with aim of supporting muziki to be on the top of map for putting any kind of good music on air and more than millions people they must see it
especially undergrounds they fail to visit their dreams because of capital issues to publish their songs into radio stations and tv stations  
so  this is simple way for small artists to publish their songs without losing high amount of money
 
HISTORY OF TONGA UZIKI
It was started 2016/12 and the person who srart it is BOSSAN DINGY when he was being at DODOMA REGION but a blog start to publish music seliously 2018 for being update for any music coming out
 
 
 
@tongamuziki INC
 

Post a Comment

0 Comments