Sponsor

header ads

waziri mkuu majaliwa afungua zahanati NANDAKA WILAYANI RUANGWA

site to read
 Waziri mkuu akifungua zahanati katika kiji cha nandaka kilichopo wilayani ruangwa mkoa wa lindi ambapo mh waziri mkuu yupo katika ziara ya siku nne  mkoani lindi kuanzia 11/7/2017

mh kassim majaliwa akiongea na wananchi baada kufungua zahanati hiyo kijijini namdaka
kassim majaliwa waziri mkuu akiongea na wananchi wakati wa kuondoka baada ya kumaliza ufunguzi huo wa zahanati 

@bitehabari

Post a Comment

0 Comments