Sponsor

header ads

KAULI ALIZOZITOA MAGUFULI LEO KIGOMA

site to read
 
  • 'Tulipoingia tulikuwa tunakusanya kodi bilioni 800 tukabana tukapata trilioni 1.3, tukibana zaidi tutapata hadi trilioni 3'-Rais


  • 'Mkandarasi fanya kazi usiku na mchana barabara hii ya Kibondo - Nyakanazi ikamilike kwa    haraka' - Rais



  • 'Waziri wa Fedha hakikisha mkandarasi analipwa haraka ili tumalize mradi huu haraka 
           iwezekanavyo' -Rais



  • 'Nilipokea malalamiko ujenzi unakwenda taratibu mkandarasi asinijaribu, mimi kufukuza makandarasi ni kama kunywa chai' - Rais

  • "Tumeibiwa sana madini, tumewaita waje tuzungumze wakichelewachelewa nitafunga migodi yote, mara kumi wapewe Watanzania" - JPM Kigoma


  • 'Kuanzia tarehe 1 mwezi wa 7, 2017 ukibeba mazao hautatozwa ushuru sio kwa gunia tu, hata tani 1 ya gari' -Rais




Post a Comment

0 Comments