Sponsor

header ads

Maafisa wawili wa polisi wauawa baada ya kupigwa risasi na washukiwa wa ujambazi

Maafisa wawili wa polisi wauawa baada ya kupigwa risasi na washukiwa wa ujambazi.

Tukio hilo limetokea Jumapili katika kanisa moja huko Ukunda kusini mwa pwani ya Kenya saa nne asubuhi.

Mwandishi wa Tonga kenya ameripoti kuwa Kamishina wa Polisi wa kaunti ya Kwale, kutswa Olaka amesema kuwa maafisa hao walikuwa katika kanisa la eneo hilo wakilinda usalama wa raia.

Maafisa hao walipigwa risasi na watu waliokuwa wamebebwa na bodaboda kisha wakatoroka na bunduki za maafisa hao.

Wote wawili wamefriki njiani wakikimbizwa hospitalini.

Post a Comment

0 Comments