Sponsor

header ads

Usain Bolt aeleza aliyemsababisha Kuishabikia Man U

Star wa riadha ambae ni mpenzi was Manchester united kila MTU duniani anajua kuwa bolt ni mpenzi wa Man u kutokana na mapenzi take kutoyaficha na kuyaweka wazi

Katika mahojiano yake Jana Bolt amemtaja  VAN NISTELROOY  kuwa ndiye sababu ya yeye kuipenda Man U van nestoroory kwasasa ni manager wa PSV Eindhoven's timu ya vijana 

Pia Bolt alipoulizwa kwanini alisema kwa sababi ya style Yake ya uchezaji anafanya Moira uonekane mtamu pia kwa kuwaelewesha watangazaji alionesha mfano wa MTU kama zinedine zidane anavyoupa radha mpira ndio kama Van Nistelrooy  

Star van nisterooy alifuta mabao 150 kati ya mechi 219 alizocheza chini ya manager sir Alex Ferguson 

Post a Comment

0 Comments