Sponsor

header ads

tanzania tumeshindwa acha zambia ikacheze fainal na zimbabwe

site to read
 
Afrika Kusini. Timu ya Zambia imetinga fainali ya mashindano ya Kombe la Cosafa 2017 ambapo itakutana na Zimbabwe siku ya Jumapili.
Zimbabwe iliifunga Lesotho mabao 4-3 katika mchezo uliopigwa jana Jumatano, huku Zambia wakiwafunga timu alikwa kwenye mashindano hayo, Taifa Stars kwa mabao 4-2 mchezo uliopigwa Uwanja wa Moruleng mjini Rustenburg.
Kwa maana hiyo, Tanzania watakutana na Lesotho kumpata mshindi wa tatu wa mashindano hayo, yanaonekana kukosa msisimko mwaka huu kutokana na kuwapo mashabiki kidogo uwanjani.

Post a Comment

0 Comments