site to read
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tuX8B-S4LDfdSNezhpYKg0MoeH0B-bpKLPCJfrO9jxK-b14xKkdF6E-G9buJ3Cpf7Uqawvv9ZpRrWNltrmLB-DGCa6jSN_P58Z2eDf52C-srEHzrYzv0E7cHul9KQI3BCj_iBX1V9pbAXi-BPFdp8RfJijdOCH=s0-d)
Waziri wa zamani Nishati na Madini na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja leo July 10 ametangaza kurejesha pesa Tsh. miliono 40 za mgao kutoka kwa mfanyabiashara James Rugemalila ambaye inaelezwa alilipwa zaidi ya Bilioni 300 za ESCROW.
Ngeleja amesema alipokea msaada huo kama ilivyo kwa wabunge wengina bila kujua kama Rugemalila angekuja kuhusishwa na sakata la rushwa ya malipo ya ESCROW yaliyokuwa na utata mkubwa kati yake na serikali.
KUPITIA TWITTER YAKE WILLIAQM NGELEJA AMESEMA
"Mimi nilipokea msaada ule kwa nia njema kama Wabunge wengine bila kujua James Rugemalila angehusishwa na kashfa za rushwa- @williamngeleja pic.twitter.com/VuzcjP3PpO"

0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}