site to read
Mabingwa wa LIGI KUU UINGEREZA Chelsea FC imekamilisha usajili wa mlinzi wa timu ya Taifa la Ujerumani Antonio Rudiger kutoka Klabu ya Roma kwa dili lenye thamani ya pound 31m ambayo inaweza kuongezeka hadi pound 35m.
Antonio Rudiger mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wa miaka mitano kutumika Stamford Bridge baada ya kufanya vipimo vya afya Jumapili.
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}