Sponsor

header ads

Utafiti wa Afande sele Kuhusu Diamond na kiba Nani Mkali?

Utafiti mdogo uliofanywa na msanii mkongwe wa muziki nchini Afande Sele umeonesha kuwa Ali Kiba ana mashabiki wengi sana mjini huku Diamond akionekana kupendwa sana sehemu za vijijini.

Utafiti huo wa Afande Sele unafuatia Wasanii Diamond na Ali Kiba kuwa kwenye ushindani mkubwa ambapo kwa sasa wakishindana kuachia nyimbo pamoja na video.

Aidha,wimbo wa Ali kiba  ‘Seduce Me’ umeokana kufanya vizuri mtandaoni, huku viongozi wengi wa serikali wakimpongeza Ali kiba kwa mziki mzuri.

Nini maoni yako kuhusu utafiti wa Afande

Post a Comment

0 Comments