Sponsor

header ads

Alichoandika Vanessa Mdee baada ya kuona picha za Graduation ya JUX….

site to read

Burudani

Alichoandika Vanessa Mdee baada ya kuona picha za Graduation ya JUX….

|

Bongo Fleva Diva Vanessa Mdee ametoa ujumbe mzuri kwa Ex wake Jux kwenye siku yake muhimu sana ambayo staa huyu amehitimu masomo yake nchini China.
Jux amepata Degree ya Computer Science katika chuo cha Guangdong University kilichopo mjini Guangzhou.
Congratulations @juma_juxU finally done and you done did it well. Hapo watu walikuwa wakiombaga picha za wewe darasani nadhani hii picha jibu la kutosha. Umeweza kufanya yote, MZIKI, BIASHARA NA SHULE… now that’s exceptional. Muda wa vibunda babaaa. Keep inspiring the YUTEEEEE Huu ndio ujumbe wa Vee Money Kwa Jux ““

Post a Comment

0 Comments