site to read
Mchezaji wa klabu ya soka ya PSG Angel Di Maria amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na faini ya Pauni milioni 1.76 baada ya kukiri kuwa alikwepa kodi katika kipindi alichokuwa anaichezea Real Madrid katikati ya mwaka between 2010 na 2014.
Hata hivyo Muargentina huyo hataenda jela kwa sababu nchini Hispania hukumu ya chini ya miaka miwili kwa mtu ambaye hajawahi kukutwa na hatia awali huwa inasitishwa.

0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}