site to read
Rais magufuli sasa hivi yupo katika ziara ya mikoani kuongea na watanzania ametoa kauli nyingi nyingi lakini pia amezungumzia kuhusu wazee
Rais Magufuli asema kuna wazee wanawapa mimba wanafunzi kwa kasi kuliko hata vijana, lakini atahakikisha anamalizia nguvu zao gerezani.
![](https://pbs.twimg.com/media/DFa5DumXUAAjKmZ.jpg)
Rais Magufuli asema kuna wazee wanawapa mimba wanafunzi kwa kasi kuliko hata vijana, lakini atahakikisha anamalizia nguvu zao gerezani.
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}