Star Young kupitia ukurasa wake wa instagram aomba radhi mashabiki wake kwa picha ilizagaa
""Nasikitishwa Na picha inayosambaa mitandaoni .imevuja bila ridhaa yangu ni picha iliyopigwa behind the scene lengo haswa la Photoshop ilikuwa aina hii mpya ya mavazi ya ki"scortish"" kama sketi
Naomba radhi kwa hili Na mashabiki wote so sad" aliyaongea hayo D
Naomba radhi kwa hili Na mashabiki wote so sad" aliyaongea hayo D
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}