Msanii Young d Na mwemzake Umber lulu wame breakup internet baada ya picha ilisambaaa ikiwaonyesha wapo uchi kabisaa
Picha hii imeyosambaa imewatoa maneno watu kiasi cha kufikia kutukanwa matusi mazito mazito huko instagram siku hizi sio instagram tena inaitwa instafilamu kutokana picha picha zinazochezwa huko bongo movies huenda imekosa soko kutokana Na filamu nyingi zinaigiziwa instagram
Pia picha hiyo imewatoa maneno wasanii wengi akiwemo WEMA sepetu
Ila hata Mimi sijapenda young D Na umber lulu wote "Wangese""
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}