Sponsor

header ads

DANILO kusajiliwa chelsea

Agent wa mchezaji wa timu ya real madrid Danilo, ameenda balani ulaya kwa ajili ya mazungumzo na timu za chelsea na juventus ambapo timu ya chelsea ya nchini uingereza iko tayari kutoa ada ya uhamisho wa £25 Million ili kunasa saini ya mchezaji huyo
 Danilo ambaye amecheza michezo 25 tuu kwa sasa anakuwa na wakati mgumu katika klabu madrid hasa baada ya nafasi yake kuchukuliwa na Dani carvajal.

Post a Comment

0 Comments