Sponsor

header ads

JOSE MOURINHO asikitishwa na kasi ya usajili wa wachezaji wapya klabuni manchester

site to read
Kocha wa timu ya manchester united ya England ameeleza kuwa anasikitishwa na kasi ya usajili wa wachezaji wapya ambao tayari alikwisha kuikabidhi bodi ya usaliji wa timu hiyo majina ya wachezaji ambao angependa kuwaongeza katika kikosi chake

Kocha huyo ambaye amekuwa na historia nzuri katika kufanya chaguzi za wachezaji ili kuimarisha kikosi chake ameeleza kuwa ni jambo la kusikitisha kuona mpaka sasa ni mchezaji mmoja tuu ambaye uhamisho wake umekamilika (LINDELOF) akitokea Benfica kwa ada ya uhamisho ya £35.

Post a Comment

1 Comments

Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}