site to read
Kiungo mahiri wa klabu ya Mbabane Swallows ametua jijini Dar Es Salaam tayari kabisa kumalizana na klabu kongwe nchini ya Yanga.
Taarifa zilizotufikia kwamba kiungo huyo amewasili na amekuja kwa jukumu moja tu kumalizana na yanga na si Azam kama ilivyoripotiwa awali.
Papy Tshishimbi Kabamba anayecheza nafasi ya kiungo mkabaji na kiungo mshambuliaji endapo atamalizana na Yanga atakuwa ameziba mwanya unaowatesa wanajangwani hao kwa muda mrefu sasa takribani miaka minne toka alipoondoka Athuman Idd ' Chuji ' na Frank Domayo.

Huyu anaitwa Papy Kabamba Tshishimbi.
-Anacheza Mbabane swallows ya Swaziland
-Amezaliwa tar 06 April 1990
-Amezaliwa Congo Dr
-Anacheza nafasi ya Kiungo
-Ana urefu wa 172M
+
1-Youth Rostand
2-Donald Ngoma
3-Amis Tambwe
4-Thaban Kamusoko
5-Obrey Chirwa
6-?
7-?
-Anacheza Mbabane swallows ya Swaziland
-Amezaliwa tar 06 April 1990
-Amezaliwa Congo Dr
-Anacheza nafasi ya Kiungo
-Ana urefu wa 172M
+
1-Youth Rostand
2-Donald Ngoma
3-Amis Tambwe
4-Thaban Kamusoko
5-Obrey Chirwa
6-?
7-?
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}