Sponsor

header ads

Jaribio la Nyuklia yaiponza Korea kaskazini

Tetemeko la ardhi la ukubwa wa magnitude 6.3 limeripotiwa kuikumba Korea Kaskazini usiku wa kuamkia leo.
Japan imesema tetemeko hilo limesababishwa na jaribio la sita la nyuklia nchini humo.
Korea Kaskazini imekuwa katika mzozo wa muda mrefu sasa na Marekani juu ya majaribio yake ya makombora ya nyuklia ambayo imekuwa ikiyafanyia majaribio mara kwa mara.

Post a Comment

0 Comments