Katika kitu ambacho kwasasa huwezi kukipinga ni kuhusu umaarufu alionao msanii billnass na hii ushaidi upo kwani ni miongoni mwa wasanii ambao toka watoke neno kushuka kimuziki halijawagusa kabisa billnass toka atoke na nyimbo yake ya kwanza iliyomleta kwenye game Acha demu gani aliyoimba na barnaba Mimi hapa naizungumzia RAHA aliyoimba na TID pamoja na Naziz mpaka Tag ubavu hana nyimbo iliyochini ya kiwango hiyo ni tofauti na wasanii wengine ambao unaweza kusema wanabahatisha
TIACHANE NA HILO
sasa kuna kitu ambacho Msanii Rayvanny amekifanya cha kumtoa Billnass katika remix ya Pochi Nene
Kitu ambacho mashabiki wengi wa billnass walikisubilia na ni wengi sana hivyo kutokana na kukosekana kwa billnass katika remix hiyo kwa kiasi fulani kuna kitu kimepungua sitaki kukataa kuwa nyimbo haijapenya imepenya tena vizuri ila ingekuwa vizuri kama billnass angeingiza sauti yake hata hivyo kutokana na skendo iliyotokea siku sio nyingi kuhusu yeye na nandy mashabiki walitaka kusikia ameimba nini je amelizungumzia jambo hilo ?
Billnass Anamashabiki wengi pia Rayvanny anamashabiki wengi wangeungana ingekuwa safi saana na nyimbo ingesumbua zaidi
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}