Toka siku ya kwanza unapokutana na mpenzi wako kuna mazingira ampayo ukiyatengeneza kumuacha mwenza wako ni kazi sana
Unaweza ukawa unadhani unatengeneza pendo kumbe unatengeneza mazingira ambayo huenda ukajuta baadae pindi mtu uliyemtengenezea mazingira hayo atakuchosha hivyo kutaka kumuacha hutoweza kutokana na mazingira ambayo uliyaweka awali
SASA
Ndugu yetu diamond platnumz alijiwekea mazingira hayo kwa mwanadada Zari hassan huku yeye pia zari akiyaweka mazingira hayo kwa mond sifikilii kwamba nikitu cha kawaida kumuacha zari au zari kumuacha mond tusiongee mengi ila ushahidi tosha tumeona kichupa cha IYENA hivi kweli MTU kakuacha unamuweka kwenye kichupa? Owk ilirekodiwa zamani ila mbona kila anaepost video hiyo lazima utaona like ya zari ? Au kila anaepost mahusiano yake na mond analike. Tumeona kwa Nay baada ya kupost zari akaangusha like
Mimi naishia hapo
@bossandingy
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}