site to read
Mchekeshaji kutoka Timamu Media, Ebitoke ambaye kwa sasa anadaiwa kuwa mapenzini na Rnb Super Star Bongo, Ben Pol ameelezea moment aliyokutanayo siku ya kwanza muimbaji huyo alipomkiss.
“Unajua mtu unayempenda halafu akikukiss lazima mwili usisimke kwanza, yeah mimi nilisisimka, nilisema mama!!!, nilihisi kama nipo mbinguni,” amesema Ebitoke.
Katika mahojiano na EATV alipoulizwa ex boy friend wake anachukuliaje
drama zinazoelndelea kati yake na Ben Pol, mchekesaji huyo aliendelea
kushikilia msimamo wake kuwa hajahi kuwa na mtu.
“Sina boy friend na sijawahi kudate na mtu, Ben ndio wangu wa kwanza,” alisisitiza.
Mchekeshaji kutoka Timamu Media, Ebitoke ambaye kwa sasa anadaiwa kuwa mapenzini na Rnb Super Star Bongo, Ben Pol ameelezea moment aliyokutanayo siku ya kwanza muimbaji huyo alipomkiss.
“Unajua mtu unayempenda halafu akikukiss lazima mwili usisimke kwanza, yeah mimi nilisisimka, nilisema mama!!!, nilihisi kama nipo mbinguni,” amesema Ebitoke.
“Sina boy friend na sijawahi kudate na mtu, Ben ndio wangu wa kwanza,” alisisitiza.
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}