Sponsor

header ads

Maneno ya magufuli tabora kwenda kwa Ma DC na Ma RC

Rais magufuli baada ya kigoma imefuata tabora kaongea haya

'Ni lazima MaDC, Ma-RC, Wakurugenzi wote
wasimamie sheria, kuna wakati mnabomoa
nyumba mnachoma mazao yao muwe na hofu ya
Mungu

Post a Comment

0 Comments