Mshambuliaji wa Manchester united Paul pogba amesema baada ya mechi ya alhamisi iliyowakutanisha Na watani wao Manchester city Na kuwafunga 2-0
Mtihani mkubwa ni dhidi ya michezo inayofuata kutoka katika nyasi ambazo zitazikutanisha timu yake Na real Madrid kisha Barcelona
Leo ni mchezo kati ya Manchester united dhidi ya Real Madrid katika nyasi sa Levi's stadium huko Santa Clara
Amesema Manchester inaenda kuwa timu bora baada ya michezo yao hiyo ya international champion cup encounter
Na wanachotaka ni kuwafunga wanaojiona kuwa ni bora
Alisema
"The players in the next team want to play against the best. We
want to play against the best, we want to beat
the best and we want to become the best.
“Those games are very important for us
because it is not like the game against Real
Salt Lake when they want to prove themselves
against Manchester United. You try to play but
mentally it is different. Now it is a big team, as
big as Manchester United. You don't want to
lose against them.”
Alisema pogba kupitia MUTV
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}