Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto imetangaza jumla ya nafasi za
ajira 3,152.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Mkuu wa
Kitengo cha Mawasiliano Serikali Wizara ya Afya,
Nsachris Mwamwaja, nafasi hizo za kazi ni katika
kada tofauti zipatazo 33.
Mwisho wa kutuma maombi hayo ni Agosti 11,
mwaka huu.
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}