Sponsor

header ads

kesi ya wema yasomwa mara mbili kwa siku moja

site to read
 
Kesi ya malkia wa filamu nchini Wema Sepetu ilisogezwa mbele Jumatatu hii. Kesi hiyo inayosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na  kusikilizwa tena majira ya saa sita na nusu mchana leo baada ya Wakili wa upande wa utetezi kushindwa kufika mahakamani
 kutokana na kupata dharura. Aidha Hakimu anayesikiliza kesi hiyo alipanga kuisogeza mbele
 mpaka Alhamisi ya wiki hii lakini Wakili wa upande wa serikali alidai kama kesi hiyo haitaweza
 kusikilizwa tena leo haitawezekana kupata ushahidi kutoka kwa Mkemia Mkuu kutokana na kubanwa na safari nyingi.

Post a Comment

0 Comments