Sponsor

header ads

Vyuo vikuu binafsi huenda vikapunguza ada

Uamuzi wa kuwaruhusu wanafunzi kuomba
udahili moja kwa moja chuoni kumevilazimu
vyuo binafsi kupunguza ada ili kuvutia
wanafunzi-
Kutokana Na baadhi ya vyuo huwenda vikakosa wanafunzi kutokana Na umaarufu wake Na hii imeathali upande wa vyuo vikuu vinavyomilikiwa Na watu binafsi au makampuni binafsi imeripotiwa Na mwandishi wetu  wa bite media sasa hivi vyuo vingi vya binafsi vimedhamilia kupunguza ada zake ili kuweza kupata wanafunzi
Mwaka huu wa masomo

Post a Comment

0 Comments