Sponsor

header ads

TANGA: Rais Magufuli amesema waliojinufaisha na fedha za ujenzi wa Hospitali ya Mkata wajiandae kuzirudisha au kwenda gerezani

Serikali ya awamu ya tank kupitia kwa raid dkt john pombe Joseph magufuli inayoonekana kuwa serikali ya aina yake kwa jinsi inavyoipeleka nchi upande mwingine inaonekana ni bora lakini upande mwingine kuna kasoro nyingi mno kutokana Na KILA MTU kutoa maelezo yake anapopata nafasi ya kuiongelea serikali hii

Tumeona mwenyekiti wa chadema taifa Livyoichambua katika upande wa uchumi Na kuonekana pato la taifa limekua ila hali ya uchumi nchini imeshuka sana

Lakini pia tumeshuhudia viongozi wengine kama hamphley polepole alivyojalibu kuiongelea serikali hii Na kuona kuwa pia katika upande wa rushwa kidogo watu wamekuwa waoga sana na hiyo ni dalili nzuri kwa taifa lolote changa kuendelea pale linapodhibiti hali ya rushwa

Akiwa tanga rais magufuli ameendelea Na kasi yake ile ile ya kutokomeza ufujaji was fedha za serikali alipotoa tamko kuhusu waliojinufaisha Na fedha za serikali za ujenzi wa hospitali ya mkata mkoani tanga Na kuwaambia wajiandae kwenda gerezani Na kuzirudisha pesa hizo haraka.

Post a Comment

0 Comments