Baada ya tetesi za miezi, wiki, siku na saa,
hatimaye muda umefika na tetesi zote
zimekuwa kweli, Neymar anaondoka Barcelona
na kuelekea Ufaransa.
Staa wa Barcelona, Lionel Messi amethibitisha
hilo na kwa kupitia ukurasa wake wa
Instagram amemtakia kila la kheri swahiba
wake huyo katika maisha yake mapya
Ufaransa.
“Nimefurahi kuwa na wewe na kucheza na
wewe rafiki yangu na nakutakia kila la kheri
katika maisha yako mapya ya soka unayoenda
kuanza,” aliandika Messi kupitia Instagram.
Kauli ya Messi inakuja ikiwa ni masaa
machache tangu Neymar aondoke katika
uwanja wa mazoezi na klabu hiyo imetoa
taarifa kwamba Neymar amepewa ruhusa
kwenda kumalizana na PSG.
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}