Sponsor

header ads

Raisi magufuli leo Amewaondolea tofauti Makonda na Ruge jukwaani

By Bossandingy

Ikumbukwe tofauti walizokiwa nazo Mkuu wa mkoa wa dar Na mkurugenzi wa clouds media group Bwana Ruge mutahaba ilikuwa sio tofauti ya kitoto kwani yalitoka maneno mengi juu ya kitendo alichofanya makonda kuvamia kituo cha habari cha clouds

Ila Leo mkoani tanga kipindi rais pombe magufuli akitoa hotuba  kwenye uzinduzi wa bomba la gesi kutokea mkoani tanga basi alitumia nafasi hiyo ya kuwepo wote mahala hapo Na kuwakutanisha jukwaani

Haikutosha kuwakutanisha Bali pia walishikana mikono kuonyesha kumaliza tofauti Na wakati huo huo wote wakiwa Na nyudo za furaha

Post a Comment

0 Comments