Serikali imetaifisha magari matatu kati ya 7
yaliyokutwa na Rais, Dkt. John Pombe Magufuli
kwenye makontena, alipofanya ziara bandarini.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kubainika kuwa
magari hayo hayakuwa na nyaraka stahiki.
Aidha, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
imeamuru washtakiwa wawili wanaohusika na
magari hayo kulipa faini.
0 Comments
Comments
[download bo chart app bit.ly/pakuabochartapp}